SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MUKTADHA MBALIMBALI- KISWAHILI KIDATO CHA PILI
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
80 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Wasiliana kwa kutumia rejesta

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kubainisha matumizi ya kiswahili katika miktadha mbalimbali

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi; mwanafunzi aweze;1. Kuwasiliana kwa kutumia rejesta.

5. MAIN TOPIC
MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MUKTADHA MBALIMBALI

6. SUB-TOPIC
2.1 Rejesta

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Pili, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Matini zenye rejesta.

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 10 waongoze wanafunzi katika maigizo ya kutumia rejesta katika mazingira mbalimbali hotelini, gulioni, mahakamani. Wanafunzi washiriki katika maigizo kisha wajadili kuhusu fasihi na dhima ya rejesta. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 40 Kwa kutumia bungua bongo waongoze wanafunzi wataje rejesta zinazotumika katika miktadha mbalimbali wanafunzi wafanye kazi mradi ya kukusanya rejesta zinazotumika katika mazingira mbalimbali. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 10 Ongoza Kazi mradi hizo ziwasilishwe darasani ili zijadiliwe na kutolewa maoni. Kazi mradi hizo ziwasilishwe darasani ili zijadiliwe na kutolewa maoni. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 10 Ongoza Kazi mradi hizo ziwasilishwe darasani ili zijadiliwe na kutolewa maoni. Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 10 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MUKTADHA MBALIMBALI- KISWAHILI KIDATO CHA PILI For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256